Soko la kuku wa kienyeji Dar

westandtogether

Senior Member
Joined
Jul 8, 2020
Posts
175
Reaction score
257
Habari wakuu .
Nakuja mbele yenu wadau na wapenda maendeleo kuomba muongozo juu ya soko la kuku wa kienyeji Kwa Dar na majiji mengine mimi ni mfugaji ikiwezakan nipate connections ya maeneo ambapo nawez kuuza.
 
Habari wakuu .
Nakuja mbele yenu wadau na wapenda maendeleo kuomba muongozo juu ya soko la kuku wa kienyeji Kwa dar na majiji mengine mm ni mfugaji ikiwezakan nipate connections ya maeneo ambapo nawez kuuza Kwa mawasiliano zaidi nicheki 0621363330.
Una kuku wangapi waliokomaa?
 
Bei ni shilingi ngapi kwa kuku mkubwa? Hii ikiwa ni pamoja na kumfikisha dar....
 
Biashara za kimaskini bora angefungua genge tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…