Soko la kaymu

Soko la kaymu

no nm

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
212
Reaction score
32
Ee, manunuzi kwa hawa kaymu {online market}....procedure ya kununua imekaajee......?
 
Kaymu sio salama,wanaojitangaza wanauza wengi wao ni madalali hata ofic hawana,mie nilinunua simu yani ikawa ni shida kuipata,nimepeleka complain kwenye website yoa hakuan follow up..sikushauri kabisa
 
Shukrani.....ila hukua umelipia?
 
Nililipia yani niliamua kutumia mwanajesh wangu mmojs tukamtia nguvuni huyo dalali ili kupata ela yangu,,,
 
Wote na wausumbufu,,,aliruka kichura chura na push up za kutosha

Du, & ukiangalia ads zao utadhani ni watu makini kumbe nothing.they're just fooling around..
 
Kaymu sio salama,wanaojitangaza wanauza wengi wao ni madalali hata ofic hawana,mie nilinunua simu yani ikawa ni shida kuipata,nimepeleka complain kwenye website yoa hakuan follow up..sikushauri kabisa
Hee kumbe ndo ilivyo...kwel Bongo yetu bado sana.
 
Kaymu sio salama,wanaojitangaza wanauza wengi wao ni madalali hata ofic hawana,mie nilinunua simu yani ikawa ni shida kuipata,nimepeleka complain kwenye website yoa hakuan follow up..sikushauri kabisa

Huenda ni kweli lakini mm nilitembelea https://www.jumia.co.tz/ ambayo nayo iko sponsored na Tigo niliona bei zao ziko fair ukilinganisha na maduka yetu haya...Hii inanambia labda sio madalali kama unavyodai

Na siku zote katika biashara ya mtandaoni lazima kuwepo drawbacks mfano hata eBay kati ya manunuzi yako 99% yanaweza yawe poa lakini 1% tena ile ya kwanza ndo haiko poa
Hivo usiwashauri watu wasijaribu labda tu kama umenunua vitu huko zaidi ya 3 na kupanda juu
 
Iyo mara 3 ndo Gold standard ya kudisqualify kitu/service??ivi mtu akiwa na mgonjwa akampeleka hospital akafaroki kwa uzembe unategemea atakwambia nini?au mpaka wafe watatu?ivi mpaka ulizwe mara tatu ndo ujue kuna shida???sorry to say that what you threw here is average thinking......
 
Mkuu unaweza sema ni average thinking ila nilishomaanisha mara moja haiwezi kutumika ku judge kitu mkubwa...
Nimefanya manunuzi ya Ebay kwa mara ya kwanza nkalizwa 50$ ila sikufa moyo na wala sikutumia hiyo kama standard ya ku judge eBay kuwa ni insecure place...
Nilipojaribu mara ya pili kitu ilitumia zaidi ya 40days haijanifikia nkafungua case Paypal baada ya kujua kuna cases nkatumiwa mzigo upya baada ya siku ule mzigo wa awali ambao nilifungulia case ukafika na ule niliolipiziwa nao ukanifikia after 2weeks....
Since then sijawai kupata shida yoyote na eBay

Should I use my 50$ experience to say kwamba eBay is insecure market place?
Kama haujaona hiyo point yangu then wewe ndo unatumia average thinking
 
Ulifanya na manunuzi kabisa na ukapata mzigo fresh?

Mkuu umeitembelea kaymu.com kujua protocol za kupata mzigo?
Mm binafsi sijafanya ila kuna simu nataka kuichukua nimeona bei yake iko fair na jamaa wangu kashanunua kaymu na jumia vitu kadhaa na ndo alini recommend kuzitumia hizo sites kabla ya kununua kitu na kama bei zao ziko poa nitumie hiyo
 
Nishapitisha macho TU, ndo kabla ya kuagizia nikaamua kuja humu kuuliza wenye uzoefu nayo nsije kuliwa kingi
Njia rahisi ambayo mm huwa natumia katika manunuzi ya mtandaoni naanza na kitu cha bei rahisi ambacho hata nkipigwa sitoumia mfano nanunua bidhaa ya 10,000/=
Hii inanipa experience na kujua protocol zinazofuatwa mpaka mzigo unifikie
 
Shukrani sana, tupo pa1
 
Back
Top Bottom