King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
habar zenu wanajamvi.leo ninajambo kidogo nataka kuwashirikisha. katika pitapita zangu nimeona kwa kiasi kikubwa soko la it likipanuka kwa kasi sana siku hadi siku .pia kwa kadri miaka inavyokwenda graduaters wamekuwa wengi pia fursa za ajira zikiongezeka pia japo kutanuka kwa soko kunaonesha mabadiliko kiasi katika sekta husika kama mifumo ya upokeaji na usambazaji taarifa , film sector, industrial system, education ,banking and other ..hapa nataka nihoji kuwa vyuo vyetu vina zana toshelezi kupambana na ukuaji wa soko ili kuleta ushindani na vyuo vya nje? je serikari yetu inatoa kipaumbele kwa kiasi gani ili kuwekeza katika swala la teknolojia ili kuinua uchumi wetu ulio dumaa.sifikirii kama wanafunzi wanao maliza wameweza kupewa uwezo wa kutosha kufikiri kuwa pamoja na kupewa mafunzo ambayo yatawasaidia kutatua matatizo yao binafsi wawapo makazini bali kufikiri kwa upana juu ya taifa lao . NI MTAZAMO TU.