Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

Ivi sojo la hisa pekee ndo kiashiria cha ukuaji wa kiuchumi??

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hapana. Ila kwa baadhi ya nchi ni moja ya kiashiria chenye nguvu sana. Na pia soko la hisa kwamfano NYSE au NASDAQ etc ni kisababishi cha kushika au kupanda kwa currency zenye nguvu duniani kama USD etc. Ila kwa Tanzania bado soko lipo chini kiuwezo so halina impact kubwa sana. But linaashiria tu hali ya mzunguko wa fedha.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Habari kama hizi hushangiliwa sana na chadema.

Leo ufipa watasahau ngada kwa muda ili washangilie
Huwezi kuongoza nchi kwa mawazo yako pekee; utakwama. Shirikisha makundi yote kwa ushauri na nguvu ya pamoja; usipofanya hivyo humkomoi mtu ila unalikomoa taifa.
 
Andika kama una akili... weka facts, acha kejeli ... Kama unataka kupelekwa shule njoo usalimie wazee wako hapa

Amekuuliza Swali Mkuu hivyo ulipaswa kumjibu tu kama unacho au la ,au hauku muelewa ?

Au hata Alama ya kuuliza hauku iona ?
 
Aisee Rutashobolwa nilitaka kukusema kwa lugha ya Kihaya. Lakini basi tuuu, unatuabisha wahaya unaonyesha ujui chochote katika maesabu wewe ni muhaya usiejua chochote, naishia apo nisije nikapata Bann.
Soko la DSE limeanguka kwa Asilimia 82.14%. Ni kiwango kikubwa sana, labda kwa kuwa ujui maesabu unaona sawa. Ingekuwa mataifa kama Egypt, Nigeria, South Africa, Morocco au Algeria mawazili wengi wangeachia nafasi zao apo. Yaani kwa lugha ya MTU ambaye ajapita shule kabisa yaani uwe na 100 tirioni upate hasara ya tirioni 82.14 alafu useme ni kawaida

Yaani hata kama ni siasa, tumia akili ya kichwa na sio kwa kutumia tumbo

Naishia apo nisipate BANN
Nasema tena hata ingekuwa yameporomoka kwa asilimia 90 nasema tena kuwa dse si kipimo cha uchumi tanzania.
Hivi ni makampuni mangapi yameorodheshwa huko? unatoa mifano amabayo hailingani kabisa....ndio kwanza tanzania serikali inapambana kuwa ni lazima makampuni yote kujiorodhesha uko.....
 
Really? Hayo yametoka moyoni mwako? Wajuwa soko la hisa linaingiza bei gani ya foreign currency. Lazima tuweze pendekeza namna ya kuliokoa soko siyo kusema kwa ushabiki lifungwe. Humu ndani kuna potential leaders they can have your good advice

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
kwa aina ya utawala huu hilo soko halina kazi wasubiri baada ya magufuli kuondoka ndio waanze kufanya biashara.
 
Mauzo hayajashuka kilichotokea kitaalam kinaitwa expanded market sales ambapo mauzo huonekana kupungua lakini kitaalam yanaongezeka kwa kasi ya ajabu sana.
 
Katika mabadiliko yoyote lazima kuna watakao athirika. Yes we safer lakini jamaa kajitaidi mambo mengi. Kaokoa fedha nyingi sana. Nchi hii ilikuwa imefika mahali pabaya sana. Tulikuwa tunaelekea enzi za Zimbabwe kubeba fedha kwene viroba. Watu tulikuwa hatuzalishi ila hela inapatikana. Mtu akipiga trip mbili tatu kapata hela. Unafikiri huyo mtu utamwambia aende shamba ataenda. Mtu akikwambia naomba hela ya soda, unampa 10,000 sasa nani atazalisha. GDP ya nchi ilikuwa hatarini

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Unaelewa maana ya GDP ?
 
Back
Top Bottom