Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

Amekuuliza Swali Mkuu hivyo ulipaswa kumjibu tu kama unacho au la ,au hauku muelewa ?

Au hata Alama ya kuuliza hauku iona ?

Au unataka tukuulize wewe kama wewe ni m. senge? Kuna mswahili yanastahili kijibiwa na mengine kupuuzwa..
 
Haya ni mawazo ya akili duni.

Hela chafu huwa inatoka wapi? Hela ya kifisadi huwa inatoka wapi? Kama ufisadi haupo, hela iliyokuwa inatumika kifisadi inaenda wapi?

In normal situation internal money remains constant whether there is corruption or no corruption what changes is who owns the money.

Watanzania nawaonea huruma kwa kuamua kuwa wajinga wa kudumu. Wanasiasa wanawachezea kama wapendavyo. Wakiambiwa kuna ufisadi, wataitikio kibwagizo hicho bila ya kuhoji maswali ya msingi.

Wakiambiwa uchumi unakua, wataitikia hicho kibwagizo kama vile Mungu aliwaumba bila akili. Umaskini wa Watanzania upo zaidi kichwani kuliko sehemu nyingine yoyote.
Aisee umeongea kitu ambacho kama ningekuwa karibu yako siku yako ya Leo ningekujazia mafuta full tank

Tanzania ni taifa lenye wajinga 99% ya wananchi ni wajinga na ndio mtaji wa wanasiasa
 
Yes.nchini kwetu taarifa zinazo chochea bei ya hisa kupanda au kushuka ni taarifa za aina moja tu ambazo ni taarifa za faida na hasara (Profit and loss statements). Sasa kwa sasa makampuni meng faida zmepungua na mengne kupata hasara kutkana na mzunguko wa fedha kubadilika.
 
Aisee umeongea kitu ambacho kama ningekuwa karibu yako siku yako ya Leo ningekujazia mafuta full tank

Tanzania ni taifa lenye wajinga 99% ya wananchi ni wajinga na ndio mtaji wa wanasiasa
Umeongea ukweli ungekuwa karibu yangu Leo bills zote ningelipa mimi
 
Nnaona umeshindwa kunielewa au kuelewa nilicho maanisha hapo mwanzo ,barikiwa sana Mkuu .
Sijaona swali lako. Nimeulizwa kama ninakigugumizi ... Sioni sababu la kujibu swali kama hilo? labda uweke hapa swali lako...
 
Bahati mbaya serikali hii iko katika kampeni za kisiasa zisizoisha. Wamezuia wapinzani kufanya siasa lakini wao wako katika kampeni muda wote! Cha kushangaza ambacho dioni kama Bunge wamehoji hawa Mawaziri wanapata wapi fedha za kutembelea wakati wote. Maana nina hakika fungu la OC katika wizara zao haliwezi kumudu hata robo ya safari wanazofanya. Mawaziri wamekuwa watendaji wakati watendaji wakiwa maofisini.
 
Back
Top Bottom