unayo dhahabu au unahitaji Mimi nijuavyo kwa sasa gram moja ni 80;000 ninae jamaa ana ofisi yake pale kariakoo soko kuu INGIA MLE NDANI ule mlango wa kuingilia kulia kuelekea karibu na vyoo utaona ofisi yake ANAITWA OMARI ATAKUSAIDIA anajuana na wengi na yupo official kama unataka kwa wahindi nenda kwenye jewellers zipo nyingi ulizia kwanza ndipo uuze
Aisee nyie wa mkoani tabu sana.
Yaani neno Kurangua hamjui sio.
Ni kununua kwa jumla,
Au unaweza kusema kulangua,yote ni the same,watu wa Kigoma,Tabora,Rukwa,Mwanza nk hutumia neno Kurangua.
Aisee nyie wa mkoani tabu sana.
Yaani neno Kurangua hamjui sio.
Ni kununua kwa jumla,
Au unaweza kusema kulangua,yote ni the same,watu wa Kigoma,Tabora,Rukwa,Mwanza nk hutumia neno Kurangua.