Dar wanapima kilo sio visado kama Mwanza..., by the way hata soko likiwa zuri sio kwamba umeuza, inabidi utafuta wateja wanunuzi ambao mtakuwa na long term relationship na sio wasumbufu (tafuta mtu wa karibu mpelekee mzigo) au unaweza kuuza rejareja...
Dunia kuwa kijiji siku hizi tofauti ya bei kutoka point A na B sio kubwa kama zamani