Soko la architecture degree

Soko la architecture degree

Usimdanganye wewe
Mkuu ushirombo huwa Nina ndoto ya kuonana na wewe siku moja live ili niweze pata madini yako yakiwa mabichi kabisa. Ila najipa moyo tu siku moja nitakuona ,cha msingi uzima na as long as tuko kwenye industry moja.
 
Kwanza asahau kitu kinachoitwa ajira, asome business administration(in information technology),au asome programming languages.,hata achukue marketing.Akishamaliza ajiajiri.
 
Sizipendi sana hizi discussion.

Kitu kikubwa duniani ni competency, ukiwa competent; huduma zako zitahitajika tu.

Kuna hii assumption ya "kasome kitu fulani kina pesa sana", hatuwaambii kuwa you need to be good at what you do.

Nenda kapige, education kuwa mwalimu bora wa hesabu, kuna watu watakulipa pesa ya kutosha sana. Najua mwalimu anayelipwa mpaka 50K for 1hr session; na yuko booked everyday kutoka saa 10 jioni mpaka 3 usiku, do the math.

Tuwafunze watu kuwa competence kwanza, career choice inakuja baadae

kuna watu wapo vizuri sana GPA kali lakini kozi zao haziwabebi sokoni
 
Kwa PCM : WAP na wap
Biomedical ni engineering mkuu iko Arusha tech tu kwa degree na DIT kwa diploma, Ya DIT ni Biomedical Equipments engineering where as ya Arusha technical college ni Electrical and Biomedical engineering na Products zake ni wahandisi Kabisa
 
Biomedical ni engineering mkuu iko Arusha tech tu kwa degree na DIT kwa diploma, Ya DIT ni Biomedical Equipments engineering where as ya Arusha technical college ni Electrical and Biomedical engineering na Products zake ni wahandisi Kabisa
Ohoo.
 
Nakujibu kwa mara ya mwisho.

Lengo kuu la akitekcha katika Tanzania yetu ni kuchora TU, sasa jiulize mtaanai wanachora wangapi? Civil anachora, QS anachora, Env. Eng anachora, Fundi mwashi aliesoma na asie soma veta wanachora pia,

kupata project kubwa kwa hawa watalamu wetu ni mara chache sana na ukipata dili utapewa 5M hapo ndio pesaa kubwa, ila watz wengi ni residential house, huwezi amini hizo wanachora mpak 100,000

zingine zooooote zilizobaki zinaingiliana mfn estate offficer, Construction Manager, clerk of work, project Manager etc.

Civil, Qs ukimaliza shule unaweza hata kwenda kwa mkandarasi ukapoteza muda utalipwa, akitect utaenda kufanya nini??

mwambie dogo asizuzuke na picha na tambo za hao jamaa wakiwa chuo, kitaani ni balaa lingnie

kama anataka ardhi bas akasome BUILDING ECONOMICS
Safi umemuuleza ukweli
 
Back
Top Bottom