Soko la architecture degree

Soko la architecture degree

Nakujibu kwa mara ya mwisho.

Lengo kuu la akitekcha katika Tanzania yetu ni kuchora TU, sasa jiulize mtaanai wanachora wangapi? Civil anachora, QS anachora, Env. Eng anachora, Fundi mwashi aliesoma na asie soma veta wanachora pia,

kupata project kubwa kwa hawa watalamu wetu ni mara chache sana na ukipata dili utapewa 5M hapo ndio pesaa kubwa, ila watz wengi ni residential house, huwezi amini hizo wanachora mpak 100,000

zingine zooooote zilizobaki zinaingiliana mfn estate offficer, Construction Manager, clerk of work, project Manager etc.

Civil, Qs ukimaliza shule unaweza hata kwenda kwa mkandarasi ukapoteza muda utalipwa, akitect utaenda kufanya nini??

mwambie dogo asizuzuke na picha na tambo za hao jamaa wakiwa chuo, kitaani ni balaa lingnie

kama anataka ardhi bas akasome BUILDING ECONOMICS
NOted Boss. Ntampa post yako aisome mwenyewe MKuu.
 
umemaliza mkuu... kama anataka kuandaa kampuni na ndg mtampiga tafu hapoo sawa
 
You well spoke kabisa
 
Ukiwa chuo ukapata project za 300k wewe staa, maliza shule uone
Dsaah kwel mkali maana mfano halisi ni mimi mwenywe na huu uchumi wangu wakati nipo chuo nilikuws napata vimichongo vy 200k na 300k kuvitengenezea vikampuni vidogo vidogo budget plan na project plan ata izi project pediction nilikula ela sana..

ajabu sasa nilipomaliza ikawa tabu vile vile vikampuni nikivifata viniajiri vinagoma na kudai kuwa hawana nafasi za ajira mara vimesitisha kuajiri asee yani apo ndo nilipoamini kuwa chuo na mtaani, mtaani ndo chuo chenyewe ns ikikifaulu basi maisha lami kumbe kule chuo tulikuwa tunatembelea nyota za manots meeeeeeeeeeeeeeeeeeengi na GPA tu
 
Mwambie huyo dogo aje asome LMV hatajutia kama anataka ajira ya uhakika. Ila kama interest asonge tu Architecture.
 
Sizipendi sana hizi discussion.

Kitu kikubwa duniani ni competency, ukiwa competent; huduma zako zitahitajika tu.

Kuna hii assumption ya "kasome kitu fulani kina pesa sana", hatuwaambii kuwa you need to be good at what you do.

Nenda kapige, education kuwa mwalimu bora wa hesabu, kuna watu watakulipa pesa ya kutosha sana. Najua mwalimu anayelipwa mpaka 50K for 1hr session; na yuko booked everyday kutoka saa 10 jioni mpaka 3 usiku, do the math.

Tuwafunze watu kuwa competence kwanza, career choice inakuja baadae
 
Kasome petroleum uje uwa mtaalamuwa masuala ya Gesi.
 
Wadau Hi.

Nina dogo wangu amesoma PCM kule Tanga, ila dream yake ni kutinga pale Ardhi University ili akachukue Degree ya Architecture.

Naomba kujua/kujulishwa, je yuko kwenye njia sahii? Na soko la Degree ya Architecture likoje?

Tanks in Advance
Kama yuko smart na anataka ARDHI akasome BE(BUILDING ECONOMICS) ana pia azingatie sana studio akiwa mwaka wa 1&2 ili ajue kudesign... Huku mtaani sasa hivi wanahitajika multpurpose people ukiwa qs na kujua kudesign ni deal sana,unajiajiri kiurahisi kabisa coz unakuwa na uwezo wa kutengeza boq na drawings
 
waambie hao waelewe, unaweza piga kazi firm hata 5
 
Back
Top Bottom