Soko kwa wakulima wa matango

Soko kwa wakulima wa matango

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,894
Reaction score
52,484
Natafuta matango kiasi kwa ajali ya biashara,
Yawe yapo shambani nitafuata mwenyewe,
Ama kama anaweza kuniletea tutazungumza.

Napatikana Kibamba, Dar es Salaam
Bei ya bidhaa itatoka kwa mkulima mwenyewe na makubaliano yakifikiwa tutafanya biashara.

Napendekeza matango kutokea mikoa ya pwani ili iwe rahisi kwa usafirishaji.

Kama una mzigo tafadhali karibu PM.
 
Aise ingekuwa miaka ya 2015 ninge real na wewe nmelima sana matango hko mbele ya mkuranga sehemu za mwalusembe ....hko bado kuna watu wanalima hornet

Ova
 
Aise ingekuwa miaka ya 2015 ninge real na wewe nmelima sana matango hko mbele ya mkuranga sehemu za mwalusembe ....hko bado kuna watu wanalima hornet

Ova
Hahhaaaa mwarusembe
Naweza kuwa nafahamiana na wewe!!

Wakulima naona hawamo humu wacha nifunge safari japo njia siikumbuki
 
Hahhaaaa mwarusembe
Naweza kuwa nafahamiana na wewe!!

Wakulima naona hawamo humu wacha nifunge safari japo njia siikumbuki
Mbele ya mkuranga unaikuta mwarusembe.....kuna sehemu hapo panaiitwa mainge wanalima tikitiki na matango hko kipindi cha Nyuma nlimaga vitu hivyo sana...
Fanya Tour huko one day

Ova
 
Mbele ya mkuranga unaikuta mwarusembe.....kuna sehemu hapo panaiitwa mainge wanalima tikitiki na matango hko kipindi cha Nyuma nlimaga vitu hivyo sana...
Fanya Tour huko one day

Ova
Kesho asubuhi mapema naelekea huko
 
Back
Top Bottom