rc mtaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Watumishi wapewe chai, kuna watu wana mfungo wa lazima

    Mkuu wa Mkoa Njombe, Anthony Mtaka kwa kushirikiana na Katibu Tawala Mkoa (RAS) Njombe ameeleza walivyoanzisha utaratibu wa kuwapa chai Watumishi kupitia fedha ambayo ingetakiwa kutumika na Mkuu wa Mkoa. Ameeleza hayo Februari 20, 2026.
  2. J

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka adai Wakinga, Wapemba, Wanyantuzu, Waha, na Wachaga, ndio vinara wa sekta binafsi Tanzania.

    ..RC Mtaka anadai Kariakoo haiwezi ku-survive bila ya uwepo wa Wakinga. ..sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=USgtsZ6LwvY
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka azijia juu Halmashauri kwa kukusanya ushuru kwa Wakulima ikiwa hazijamwezesha Mkulima kwa chochote

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amewashangaa Halmashauri wanaotoza kodi na ushuru mkoani humo kwa kuendeleza taratibu zisizo na uhalisia, hususan kwa wafanyabiashara na wakulima wadogo. Akizungumza na Madiwani pamoja na Halmashauri, Mtaka alisema: “Mtu analima mpunga, anapiga maombi mvua...
  4. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Njombe: Huyu kijana bila uoga azungumzia kuhusu haki, mauaji ya raia na uminywaji wa demokrasia mbele ya RC Njombe Anthony Mtaka

    Literacy Rate ya WaTz imeanza kufika level za juu: Msikilize huyu kijana akimpa shule RC Mtaka.
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 The Chanzo, Crown Media na Mwananchi wamechapisha kuwa'RC Mtaka anashirikiana na Denis Ekwabi kuihujumu CCM, Ukabila wahusishwa'

    Wakuu ==== Kuna ukweli wa taarifa hizi?
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Wananchi msiwarekodi wataalam wa afya na kupeleka mtandaoni

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amepiga marufuku wananchi kuwarekodi madaktari na kusambaza video au sauti mitandaoni badala yake waweze kutumia njia sahihi ya kutoa taarifa kwa uongozi madaktari wanapokosea. RC Mtaka ametoa agizo hilo wakati akizungumza na wananchi wa kata ya Ukalawa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mngetamani RC Mtaka ahamie DAR kiangazi au kipindi cha Masika?

    Mkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni Mtaka ambaye kwa sasa yupo Njombe. Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka pamoja wanasiasa wa chama tawala kwa kuondoa makundi. Anakuja DAR kuanza kukusanya kura za makundi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka awataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya CHADEMA na kuzifanyia kazi hoja zao kama zina mashiko!

    Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea. Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka. Source: Jambo TV Njombe
  9. S

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Dodoma walalamika kupateliwa mafuta kikao cha RC Mtaka

    Kuna malalamiko makubwa kutoka kwa waendesha Bodaboda na Bajaji walioshiriki kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka kuhusiana na hamasa ya sensa lakini awali wakati wanajiandisha asubuhi waliahidiwa kupewa lita 2 za mafuta. Baada ya kumaliza mkutano baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mtaka atoa siku saba kwa wadanganyifu wa ardhi Dodoma

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (RC), Anthony Mtaka ametoa siku saba kwa wakazi wa Msalato waliojiorodhesha kudai fidia ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato kwa njia ya udanganyifu kufika ofisi za Serikali ya Mtaa kuondoa majina hayo kwa hiari. Mtaka ametoa agizo hilo Ijumaa Julai 22, 2022 wakati...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Soko kubwa la Wamachinga Afrika Mashariki lajengwa Dodoma. Wakuu wote wa Majiji waenda kujifunza kwa RC Mtaka

    Wakuu wote wa majiji ya Tanzania wako Dodoma kwa mwaliko rasmi wa waziri wa Tamisemi mh Bashungwa kujifunza namna ya kujenga masoko bora ya wamachinga. Wameitwa RC Homella, RC Makalla, RC Malima, RC Gabriel na RC Mongella wakiwa na mwenyeji wao RC Mtaka. Masoko hajo yakijengwa katika majiji...
Back
Top Bottom