Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Timu zote ninazozishabikia hoi mwaka huu!
- Taifa Stars - Kama kawaida niishazoea
- Simba SC - Sijui kwa nini Yanga wako bize kutuchukulia wachezaji. Bora wamchukue na Rage kabisa kwa kuwa ni mzoefu wa rangi zao!
- Manchester United - Hata la kusema sina!
- AC Milan - Wamekuwa wa mchangani siku hizi
- Real Madrid - Hata hawaeleweki
- Orlando Pirates - Hovyo kabisa!!!