Soka letu

Timu mbovu halafu watu wanategemea kuroga ili washinde aisee
 
hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bagosha!
 
Wewe jifanye unajua kutoa siri za wazee wa kamati waje wakupige kamati moja inaitwa SURATUL MISUKOSUKO AU KITANDA CHA SOKWE
 
Halafu naona jezi nyekundu hapo..
Naogopa kuendelea....
Usiendelee kabisa, mzuka wa kung'oa viti ushanipanda, nisije vunja viti hapa nilipo nikafukuzwa kazi.
 
Usiendelee kabisa, mzuka wa kung'oa viti ushanipanda, nisije vunja viti hapa nilipo nikafukuzwa kazi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…