Soka letu ndugu zangu linaenda juu au linashuka?

halikela82

Senior Member
May 14, 2013
187
18
Nimekuwa nafatilia x nyingi mpira wa kibongo kwa umri wangu nashindwa kung'amua jambo1 hivi mpira wetu unapanda umeshawahi kupanda au tuko kwenye line ipi tusaidiane ktk hili wadau wa kandanda letu nawasilisha.
 
Back
Top Bottom