The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,531
- 1,735
Pole sana kwa sindano ndefu sana zinazokuingia. Vumilia ndio hali ya duniaSoka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba.
Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba tu, mfano Simba kuwa na tamasha lao kila mwaka, uto kaiga, juzi wamemleta Daimond apige show uwanjani Uto wameiga wanamleta Harmonize na Harmorapa.
Uto badilikeni kuweni creative
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Yaani timu imesajili wachezaji wake kwa ajili ya msimu mpya wa ligi, halafu unasema eti wanawaiga simba! Kwa hiyo ndiyo mwaka huu Yanga imeanza kusajili hao wachezaji?
Halafu wewe ni nani wa kuwapangia Wananchi mwanamuziki wa kuipamba siku yao? Mbona Azam walitumbuizwa na Ali Kiba, lakini husemi chochote!! Na unataka uniambie Simba ndiyo timu ya kwanza duniani kuanzisha hilo tamasha la mwanzo wa msimu? Mbona na wenyewe wamecopy tu na kupaste kutoka kwa wenye mpira wao!!
Hoja zako karibia zote ni za kufikirisha tu! Huna ushahidi wowote ule zaidi tu ya kuweweseka maana mpaka muda huu, mbumbumbu wengi mmepigwa na butwaa kutokana na usajili makini uliofanywa na timu ya Wananchi.
Lini hiyo, ?Sometimes sio mbaya kuficha UJINGA ulionao! Yanga ndio timu ya kwanza kuadhimisha siku yake ya kuanzishwa na ili kuonesha kuwa ni timu ya Ushindani iliwaalika Asante Kotoko miongo kadhaa iliyopita.... SIJUI NANI kamuiga MWENZAKE
Wamecopy kwa wenye mpira sawa, je wewe nyani fc unacopy wapi, afu nitajie hiyo timu tuliko copy mtumwa fc wewe
wewe unafikiria kwa kutumia nini?? mimi sijasema eti wasisajili, hapana wawe na ubunifu na sio kuiga iga tuuNyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Yaani timu imesajili wachezaji wake kwa ajili ya msimu mpya wa ligi, halafu unasema eti wanawaiga simba! Kwa hiyo ndiyo mwaka huu Yanga imeanza kusajili hao wachezaji?
Halafu wewe ni nani wa kuwapangia Wananchi mwanamuziki wa kuipamba siku yao? Mbona Azam walitumbuizwa na Ali Kiba, lakini husemi chochote!! Na unataka uniambie Simba ndiyo timu ya kwanza duniani kuanzisha hilo tamasha la mwanzo wa msimu? Mbona na wenyewe wamecopy tu na kupaste kutoka kwa wenye mpira wao!!
Hoja zako karibia zote ni za kufikirisha tu! Huna ushahidi wowote ule zaidi tu ya kuweweseka maana mpaka muda huu, mbumbumbu wengi mmepigwa na butwaa kutokana na usajili makini uliofanywa na timu ya Wananchi.
simba ilimtumia mpoki, utopolo nao wameiga na kumtumia babu levoSoka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba.
Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba tu, mfano Simba kuwa na tamasha lao kila mwaka, uto kaiga, juzi wamemleta Daimond apige show uwanjani Uto wameiga wanamleta Harmonize na Harmorapa.
Uto badilikeni kuweni creative
Niambie iyo timu inayofanya kama simba niende YouTubeKujibizana na shabiki aliyetambuliwa na Mwenyekiti wake mstaafu kama mbumbumbu, kutanifanya na mimi shabiki wa Timu ya Wananchi kuonekana ni mbumbumbu pia.
Jiongeze mwenyewe kwa ku Google ili uone kama huo utaratibu wa timu kutambulisha wachezaji wake wa msimu mpya wa ligi pamoja na jezi zao za msimu mpya, umeanzishwa na bodaboda fc/mo fc/mbumbumbu fc, au upo duniani kote?
Ungeniambia kwa Tanzania, mbumbumbu fc ndiyo timu ya kwanza kuiga kutoka kwa wenzetu, walau ningekuona ni mbumbumbu mwenye kaulewa kuliko mbumbumbu wenzako wengine.
Relax budah..mbona unatumia ATP's nyingi sana..kwani umepanic budah?Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Yaani timu imesajili wachezaji wake kwa ajili ya msimu mpya wa ligi, halafu unasema eti wanawaiga simba! Kwa hiyo ndiyo mwaka huu Yanga imeanza kusajili hao wachezaji?
Halafu wewe ni nani wa kuwapangia Wananchi mwanamuziki wa kuipamba siku yao? Mbona Azam walitumbuizwa na Ali Kiba, lakini husemi chochote!! Na unataka uniambie Simba ndiyo timu ya kwanza duniani kuanzisha hilo tamasha la mwanzo wa msimu? Mbona na wenyewe wamecopy tu na kupaste kutoka kwa wenye mpira wao!!
Hoja zako karibia zote ni za kufikirisha tu! Huna ushahidi wowote ule zaidi tu ya kuweweseka maana mpaka muda huu, mbumbumbu wengi mmepigwa na butwaa kutokana na usajili makini uliofanywa na timu ya Wananchi.
Relax budah..mbona unatumia ATP's nyingi sana..kwani umepanic budah?
weww
wewe unafikiria kwa kutumia nini?? mimi sijasema eti wasisajili, hapana wawe na ubunifu na sio kuiga iga tuu
Niambie iyo timu inayofanya kama simba niende YouTube