The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,530
- 1,732
Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba.
Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba tu, mfano Simba kuwa na tamasha lao kila mwaka, uto kaiga, juzi wamemleta Daimond apige show uwanjani Uto wameiga wanamleta Harmonize na Harmorapa.
Uto badilikeni kuweni creative