Watanzania tunajidanganya tunaposema soka linakuwaa hakuna kitu n yaleyale@Hadi VPL itakapo endeshwa n kampuni n c TFF na klabu kumilkiwa n watu bnafsi au kwa hisa n sio wanachamaaa
kwani tff inaendeshwa vp?na hizo timu kumilikiwa na watu binafsi unadhani ndio mpira utakua?why?
TFF imeshindwa kabisa kufanya soka la Bongo kukua kwani wanataka pesa tu afu vilabu vinabaki holla.Kusuhu kumilikiwa kwa Vilabu soka litakuwa na maendeleo yataonekana kwasababu akimiliki mtu yeye ndio mwenye mamlaka na sio wanachama@Watanzaniaa sisii n porojo maneno mdomoni hakuna tunachofanya#