Soka bongo bado sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wacha tutandikwe mabao mengi

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Wacha tutandikwe MABAO MENGI maana watu wanashindwa kufanya DELIBERATIONS za mambo yanayowasibu watanzania wanahangaika na kuita wachezaji Ikulu kula nao chakula. Eti wanapelekwa bungeni, wabunge wanaacha kujadili mambo waliyotumwa wanashabika mambo ya ajabu.
 
Back
Top Bottom