Softwares za Programming

Weken namba tuwakamate vizur mnaopinga selekaliii
 
Nitumie Na. Mimi link. Kupitia e mail yangu chakupewankwabi@gmail.com. Thanks
 
Princemsofe@yahoo.com
 
ndugu yangu kwanini usiweke hapa hizo link ili kila anayetaka apate, na kuhusu code naona ni vema uweke GIthub au utuwekee hapa ili iwe rahisi, kama tunataka kufanikiwa lazima tuache umimi, mi naona open source project nyingi zinafanyika nje ili watu wajifunze sipati picha kama w3schools, tutorial point au wakina javabrain wangekua na ubahili kama wakwetu, hakika technolojia isingefika hapa ilipo sasa ivi, wabongo tupendane,wabongo tuinuane Nimeipenda Idea yako fanya iwe open source. kama ni kwa ajili ya kujifunza lakini
 
Mkuu naomba uni Pm
Kizitomartine@gmail.com
 


Please send for me all links concernrd wth programing languages myhermzer@gmail.com
 
Kama nina na java siwezi kukutafuta??
 
Mkuu mie naomba video tutorial za Python full mwanzo mwisho.
 
Umefikiria vibaya na mawazo yangu

 
The best programming source code editor is NetBeans IDE. Available here www.netbeans.org
Kaka nimeifuatilia sna hii Source code Editor naona ni nzuri lkn kwa mtu ambaye ni Beginner inabidi aanze na hata Notepad ambayo ipo kwenye kila windows laptops au atumie Notepad ++ ambayo pia ni source code editor. Kwa mtu anayetaka kujifunza mambo ya transaction software au code za transaction ili kuzilink na websites inabidi ajifunze Python.
Kwanza python ni simple programming language,na mwisho ni interactive language.
Akishajua hizo za mwanzo anaweza kwenda kutumia hiyo Netbeast. Ukiwa mzuri wa programming u can even use command prompt as a source code Editor.
 
utouhp@gmail.com tuma huku mzee C++ nilisoma ila python bado
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…