Softwares za Programming

Softwares za Programming

Habari wana Jf. Kwa mtu yeyote au mwanafunzi wa computer science anayetaka kujifunza programming kwa kutumia C++ or Python. I will be glad to hear from you ili niwapatie hizo software pamoja na links. Dunia tuyakwenda everything is going to be coded. Jifunze ku-create codes wewe mwenyewe. Atakayependa nimtumie samples of codes lemme know.

I need to knw pythons and r programming
 
Habari wana Jf. Kwa mtu yeyote au mwanafunzi wa computer science anayetaka kujifunza programming kwa kutumia C++ or Python. I will be glad to hear from you ili niwapatie hizo software pamoja na links. Dunia tuyakwenda everything is going to be coded. Jifunze ku-create codes wewe mwenyewe. Atakayependa nimtumie samples of codes lemme know.
kaka na mimi nasomea kozi hiyo nitumie link nipate zote kupitia
khilaryelias@yahoo.com
Ubarikiwe sana kwa msaada kaka hasa sisi tuliopo vyuoni bado
 
Habari wana Jf. Kwa mtu yeyote au mwanafunzi wa computer science anayetaka kujifunza programming kwa kutumia C++ or Python. I will be glad to hear from you ili niwapatie hizo software pamoja na links. Dunia tuyakwenda everything is going to be coded. Jifunze ku-create codes wewe mwenyewe. Atakayependa nimtumie samples of codes lemme know.
Kaka ulikumbuka kunitumia ?

Usinisahau maana elimu hii nimuhimu kwetu
 
nayapata sana hayo madude,kuna programming language kama;
-python
-java(inatumika kutengeneza games,apps nk)
-c
-c++
-html(inatengeneza website)
-css
-php
-pascal(kama ni kilaza wa hisabati hii haikufai)
 
Asante kaka ,what's App mie situmii kwa sasa na kama unataka software ya C++ naomba email yako ntakutumia link. December ntakuja Tanzania ntakutafuta.

sawa kaka niester email yangu ni fellinjohn7@gmail.com ntashukuru sana!!!
 
nayapata sana hayo madude,kuna programming language kama;
-python
-java(inatumika kutengeneza games,apps nk)
-c
-c++
-html(inatengeneza website)
-css
-php
-pascal(kama ni kilaza wa hisabati hii haikufai)

mkuu css sio programming language.
 
Habari wana Jf. Kwa mtu yeyote au mwanafunzi wa computer science anayetaka kujifunza programming kwa kutumia C++ or Python. I will be glad to hear from you ili niwapatie hizo software pamoja na links. Dunia tuyakwenda everything is going to be coded. Jifunze ku-create codes wewe mwenyewe. Atakayependa nimtumie samples of codes lemme know.

We tupia hapa hizo link sio mpaka tuweke email zetu public hapa aisee ndio maaana ya jukwaa hili funguka mkuu
 
Ndyo maana mtu aliye create Jf aliweka PM kwa maana ya kuwasaliana privately.
Siyo kila mtu au kila kitu kitapendwa na watu public. "I said those who wants" kuna mbao za matangazo na kuna private message. If u wanna the links unasema na sijasema uweke email yako privately.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom