Softwares,applications and websites help. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Softwares,applications and websites help.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Vodka, Feb 24, 2012.

 1. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Napenda kujua zaidi kuhusu haya;
  .How to design softwares?
  .How softwares differ from applications?
  .Who are profitable hoster companies of websites?
  .What is different between wapsite and website?
  Naombeni kama unalolote jibu kati au maswali hayo hapo juu naomba msaada wenu. Kama kutakuwa na links ambazo zitanisaidia kwa haya naomba mnisaidie.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hapa unahitaji kwenda darasani haswaa kujua hili Software design - Wikipedia, the free encyclopedia
  Softwares ni zile zinazofanya pc ku run wakati application ni zile zinazo kusaidia kufanya kazi zako kwenye pc kutokana na mahitaji yako What is the difference between software and application? - Yahoo! Answers

  Hapa sijakupata vizuri
  Wapsite ni kwaajili ya simu wakati website ni kwaajili ya pc What is difference between a website and a wapsite? - Yahoo! Answers India

  Majibu kwa msaada wa google na yahoo answer
  kwa darasa zaidi just make google your best friend
   
 3. N

  Nyasiro Verified User

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ili kudesign software unahitaji Programmning language kama vile C++, BASIC, PASCAL, Perl na kadhalika ambazo hutumika kudisign program kwa kuandika instuction(codes) ambazo zitatafsiriwa na compiler ili kurun kwenye kompyuta.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuongezea majibu waliyokupa wajumbe wengine ngoja nifafanue vitu japo Siko fresh saaaaana kwenye programming lakini upande wa theory nina knowledde na naweza kuandika na kuweka jambo sawa kurebisha makosa madogo kwenye baadhi ya commet hapo juu.

  How to design softwares?

  Ufafanuzi
  Kwanza elewa na fahamu si tu kwenye taaluma ya computer bali taaluma nyingi za kifundi Desinging ni tofuti na development. Mfano rahisi wa design ni Ramani ya nyumba. Kuna tofauti kuchora ramani ya nyumba( Design au model) na kujenga nyumba( Develoment) Mtaalam wa kuchora ramani ya nyumba anaweza asiwe au asijue hata jinsi ya kusimamia ujenzi wa nyumba .

  So kwenye Sofware kuna sofware design ambayo ni tofauti na sofwate develeopment. Nyenzo zinazohitajika kudesing sofware si nyezo zanazhojitaka kudevelop software. Lakini Output ya sofware design ndio inatumika kama INPUT na muongozo kwenye development

  Kwenye sofware desing huhitajiki kujua Programing Language. Kama vile fundi anaye design ramani ya nyumna haitaji kujua nyumba itajengwa kwa cemnet ya twiga au tembo.

  Sasa jibu

  How to desgn inategemea na mambo mengi. Lakini cha msingi unachotakiwa kufuta ni moja ya design Methodlogies na ujue kutumia baadhi ya nyenzo zake na taratibu zake. Kuna methodlogy zinaweza kufaa kwa sofware inayotakiwa kuwa developed haraka. kuna nyingine inaweza kufaa kwa sofware amabayo ni ya critical system amabyo hairuhusu hata 1% failure.(YaaniZero % failure). Methhdologies Utazikuta kwa majina tofauti tofauti kwneye vitabu tofauti Lakini how you design na njia gani utumie au ni bora inatakiwa iwe determined na Requirement sio wewe unajua nini au unapenda kudevelop na nini. Hakuna kuwa hii ni best than this inadepend on sitution.

  Kufupisha jibu hapo juu kifupi kuelewa how to desig unatakiwa kueewa Software development process au soma kitabu kama cha Sofware engineering. by Ian Sormoville Kitabu hiki kinaelzea how and what is done katika hatua za sofware development process kwenye stage mbali mbali kuanzia analysis. Design, Development, Testing. implimentation na Maitanance.

  Kama ulikuwa una maana ya how to develop a sofware na si designing basi jibu halitofautini sana na hilo. Yaaani Before you devop it must be designed na kabla ya kuwa desingeed requiremnt specfication lazima iwepo. Na ukisha develop iwe tested.

  How softwares differ from applications?

  Hapa kwa kweli sijakupata swali lako liko tika context gani . Ila Sofware zimeganyika au wataalam wamezigawanya katika makundi mengi.
  • OPerating system sofware ( Windows Mac Unix,)
  • Programming sofware - Hizi zinawasadia programmer kuandika computer program kama Ecel,
  • Application software- mfano Ms Word, Photoshop facebook app na app nyingine wenye simu. sijui wewe unaita Ms word ni application sofware au ni program. vyvyote vile... Hope sijakuchanganya
  • etc wengine wanazigawnaya zaidi.....

  Who are profitable hoster companies of websites?

  My english is bad sijui kama nimekuelewa nikijibu pumba potezea . Kifupi kama unaulziia kampuni nzuri za kuhost website jibu ni kuwa deal na promotion zinabadilika. By 2011 inawezekana may be Hostgator walikuwa wana offer nzuri lakini ukishop arround kwa google leo hi unaweza kuta Host wengine wazuri. But sometime usingalie figure za pesa tu. Jamaa wengine wana hidden cost za ajabu. Hata hawa JF wanaprovide hosting service So smetime kuliko kuhangaishana na wazungu u re best option might be a Local web Host unayeweza kumkaba koo .......... lol

  What is different between wapsite and website?
  Kama alivyokushauri mdau Paulss........

  Hii iwe ni homework/ Class work yako na wewe uje utupe jibu . So kama swali lako lilivyo kaliweke kwenye kiboksi cha google.. Ukipata majibu njoo hapa utupe shule lol


  NB
  Kama nimekosea kitu watarekebisha wataalam
   
 5. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  .Asante sanaa mkuu.
   
 6. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hapa umenipa mwanga,maana nilikuwa nachanganyikiwa kufuatilia haya maswali Google.Usijali tuko pamoja nakushukuru sana sikujua JF pia wana host websites,kuhusu wapsite na website nalifuatilia.Dah,nilikuwa na waza nianzie wapi kuyafahamu haya kwani na kiu ya kuyafahamu. Basi nitafuatilia zaidi.
   
Loading...