Software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by majogajo, Oct 4, 2012.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  WADAU NATAKA NITENGENEZE SOFTWARE ZA MAHESABU, TATIZO SIJUI NIANZEJE NA SINA HELA YA KUMPA MTU ANITENGENEZEE SOFTWARE, SO MWENYE UTAALAMU WA KUTENGENEZA SOFTWARE NAOMBA ANISAIDI AU HATA LINK YA JINSI YA KUTENGEZA SOFTWARE.<br>ASANTENI SANA.
   
 2. N

  Nyasiro Verified User

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ni vigumu sana kuanza kutengeneza software 1 kwa moja kwa kuanza na software unayoitaka inabidi utumie muda wako kujifunza programming language hata moja unayoona itakufaa halafu unaenda kwenye software unayoitaka.
   
 3. m

  majogajo JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nashukuru mkuu kwa ushauri wako, sasa hiyo programming language nitajifunzaje?
   
 4. N

  Nyasiro Verified User

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kuna language nyingi sana, hapo inabidi uwe makini kwenye uchaguzi. Kila language ina uzur wake na mapungufu yake. Kwenye mtandao kuna tutorials nyingi sana karibu za kila language, pdf na video ni nyingi mno ni wewe tu. Kwa kuanzia pitiapitid hizi language kwa juu juu af utachagua.
  *Ms VB.net
  *Ms Visual C#
  *Ms Visual C++
  *Python
  *Perl
  *Prolog
  zipo nyingi wadau wataongezea.
   
 5. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakushauri ununue kitabu cha programming, vipo vya ina nyingi
  na recommend hiki C++ Programming in Easy Steps (fourth edition) -Mike Mcgrath, kwa complete beginners.
  halafu downloaad Microsoft Visual C++
  ila kama ulivyoshauriwa inategemea na programming language unayopendelea wewe...
   
 6. N

  Nyasiro Verified User

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  zeus hiki kitabu kinaweza kuwa kizuri lakin kwa kutumia hiki kitabu huyu jamaa hawez kufanikiwa kutengeneza hiyo software yake. Kitabu kinahusu C++ halafu halafu wewe unamshauri tena atumie Microsoft Visual C++ . Kwa nini asitafute kitabu cha Microsoft Visual C++ moja kwa moja? Inabidi pia tukumbuke Microsoft Visual C++ sio programming language!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyasiro huyu jamaa nimeshauri asome kitabu cha beginners kitakachomfunza programming kwanza, hawezi kudevelop software yake bila kujua kuandika basic prgm codes, right? so ataandika codes zake say kwenye notepad,then a download compiler ms visual c++ kutest hizo codes into an .exe program, nilimaannisha compiler na sio P Language na labda ni rahisi kufuata mifano kwenye kitabu kwani ndo anaanza na kitabu kinampa maelekezo. ALternatively, anaweza kudownload any programming language anayotaka na compiler ambayo ni compatible bila kutumia kitabu.
   
 8. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Anza kujifunza open software na tumia zaidi source codes zilizotumiwa kudevelop unix system na variants zake. Kwa kifupi anza kuhack source codes.
   
 9. N

  Nyasiro Verified User

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mkuu, hiyo sentes
  ya mwisho imeniogopesha.
   
 10. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
Loading...