Sidhani kama kuna software ya kusaidia kupanga mafile kwa sababu wewe ndo unayetakiwa kupanga mafile na sio software kukupangia. Embu fikiria hili, kama software ndo ingekuwa inapanga mafile unafikiri ingewezaje kufanya hilo kama yenyewe haijui wewe unahitaji mafile yako yapangwe vipi. Cha msingi hapa cha kufanya ni kutafuta mtaalamu wa computer ambaye anaweza kukusaidia kupanga mafile yako kulingana na wewe unavyotaka yapangwe