Arselona
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 643
- 153
Nahitaji msaada wako sana mr ARSELONA kuhusu hili tatizo langu.
poa kaka
Nahitaji msaada wako sana mr ARSELONA kuhusu hili tatizo langu.
Kaka arselona umenpa number but haipatkan. Shda yang n ushaur wa kiufund kuhsu risiva ya MPEG 4, ipi nzur budget yang n 150elf, nataka nipate chanel nyng za FTA pa1 na za local, ushaur wako pleaz.