Software ya kujumlisha kura za Urais

Software ya kujumlisha kura za Urais

--->>TUJIPANGE KATIKA NGAZI ZOTE NCHI NZIMA,
TUESABU KATA ZOTE,MATAWI YOTE,VITUO VYOTE,
-->>TUANZE KUJIPANGA MAPEMA NCHI NZIMA!
-->>WASIMAMIZI WA VITUO KWA UPANDE WA UKAWA WATAWAKILISHA KWA MSIMAMIZI WA KATA HUSIKA,
-->>NI LAZIMA KILA KATA IWE NA MZIMAMIZI MMOJA MWAMINIFU NCHI NZIMA!{UKAWA}
-->>ILI TUWE NA JUMLA YETU KUU AMBAYO ITAKUWA NA VIELELEZO ""THABITI"" DOCUMENTED //
**YAZINGATIWE NA WAPENDA HAKI NA AMANI YA TANZANIA**
ii
 
Mkuu,matokeo yakitangazwa hayawezi kubatilishwa. Mtahesabu vya vituoni,WENZETU wakitangaza mshindi ndo imetoka...

Sijui ilikuwaje jambo hili halikupingwa mapema kabla hatujafika hapa
 
Mimi ni mtaalamu wa kudesign sofware za aina mbalimbali including Databases. Nimefanya kazi na makampuni zaidi ya matano zikiwemo taasisi za kiserikali.

Natafuta jinsi gani naweza saidia hii kitu kwa kutumia simu, tatizo channel.
 
Nina wasiwasi hizi ni mbinu za kutafuta goli la mkono. Ninashauri wadau wakatae majaribio ya software mpya kwenye uchaguzi wa rais. Labda ijaribiwe kwanza kwenye uchaguzi wa madiwani.
Kenya walijaribu kutumia software uchaguzi uliopita, zoezi lilikuwa na mtafaruku mwingi na uhuru akatangazwa mshindi katika mazingira ya kutatanisha.
Tukatae matumizi ya software kwenye uchaguzi wetu wa kihistoria.

Cheki hapa

How Kenya's High-Tech Voting Nearly Lost The Election : All Tech Considered : NPR
 
Twaweza wekewa software ambayo ikisoma CCM 3+3=33 wakati wengine jibu ni 6
Na mwisho wa siku inaleta majibu kuwa wapiga kura waliopiga ni 48 milioni waliojiandikisha 24 milioni na katiba inasema hakuna kuhoji imetoka hiyo kesho take Magufuli anaapishwa.
 
✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻
M Nina ka calculator kangu ka advance nakatafutia betr kataingia mzigon na daftar kubwa la mia 300 software za nn sasa watuibie????

✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻.
 
Hapa cha msingi mawakala waliopo vituoni wahakikishe wanasimamia uhesabuji vizuri.Alafu vyama vihakikishe vinajumuisha matokeo yao vizuri.
 
Mimi ni mtaalamu wa kudesign sofware za aina mbalimbali including Databases. Nimefanya kazi na makampuni zaidi ya matano zikiwemo taasisi za kiserikali.

Natafuta jinsi gani naweza saidia hii kitu kwa kutumia simu, tatizo channel.

Channel wanazo magamba na watoto wao. Pigia kura ukawa kubadili mfumo. Pia piga debe software ya majaribio isitumike. Huu sio uchaguzi wa majaribio wala kura ya maoni, vitu visivyoeleweka visitumike.
 
HAKI YA MUNGU, Uchaguzi huu utakuwa wa kihistoria kwa mara ya kwanza tangu ccm ishike dola
 
Niliota kuna wachina na wanaijeria wameingizwa nchini kama wawekezaji ila kazi kubwa waliyoletewa ni kuja ku-hack system ya kuhesabia kura ili chama tawala kidumu kutawala. Nilipomaliza kuota ndoto hii nikastuka.

kuna ka ukweli hapa.
 
Back
Top Bottom