Amani kwenu wana jukwaa,
Kuna jamaa yangu mtaalamu wa IT amenipa hii link ya programu ambayo unaweza kuiga sauti ya mtu(angalia pia attachment)
link yenyewe hii hapa: AV Voice Changer Software - AVnex Ltd.
jaribu pia kugoogle: Software to imitate someone voice
natoa hoja