mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Aug 30, 2012 #1 ndugu zangu naomba kuuliza kama naweza kupata kamusi ya TUKI ambayo ipo kwenye mfumo wa software.
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,772 Aug 31, 2012 #2 mhalisi said: ndugu zangu naomba kuuliza kama naweza kupata kamusi ya TUKI ambayo ipo kwenye mfumo wa software. Click to expand... Ndiyo unaweza!
mhalisi said: ndugu zangu naomba kuuliza kama naweza kupata kamusi ya TUKI ambayo ipo kwenye mfumo wa software. Click to expand... Ndiyo unaweza!
Belight Technology JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 583 Reaction score 129 Aug 31, 2012 #3 kaka nenda kwenye link hii hapa chini http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip then kazi ni kwako
kaka nenda kwenye link hii hapa chini http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip then kazi ni kwako
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Aug 31, 2012 Thread starter #4 Dauphine said: kaka nenda kwenye link hii hapa chini http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip then kazi ni kwako Click to expand... asante ndugu, ila nimejaribu kufungua hii link lakini imekataa.
Dauphine said: kaka nenda kwenye link hii hapa chini http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip then kazi ni kwako Click to expand... asante ndugu, ila nimejaribu kufungua hii link lakini imekataa.
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Sep 4, 2012 #5 mhalisi said: asante ndugu, ila nimejaribu kufungua hii link lakini imekataa. Click to expand... Shida yako itakuwa ni kivinjari unachotumia, jaribu tofauti vinginevyo hili faili linapakulika kirahisi kabisa
mhalisi said: asante ndugu, ila nimejaribu kufungua hii link lakini imekataa. Click to expand... Shida yako itakuwa ni kivinjari unachotumia, jaribu tofauti vinginevyo hili faili linapakulika kirahisi kabisa
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,857 Sep 5, 2012 #6 mhalisi said: ndugu zangu naomba kuuliza kama naweza kupata kamusi ya TUKI ambayo ipo kwenye mfumo wa software. Click to expand... Fungua kiungo hiki hapa: http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip
mhalisi said: ndugu zangu naomba kuuliza kama naweza kupata kamusi ya TUKI ambayo ipo kwenye mfumo wa software. Click to expand... Fungua kiungo hiki hapa: http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip
DULLAH B. JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 672 Reaction score 152 Sep 5, 2012 #7 Mi nahitaji kamuc ya Tuki kisw kwa kisw. Mwenye software yake avinjari hapa.
Kipala JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 3,763 Reaction score 700 Dec 5, 2012 #8 soma hapa: http://www.kamu.si/en/node/9024 Sijui kama inapatikana siku hizi
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,752 Reaction score 109,847 Nov 27, 2013 #9 Ukiwa kwenye mtandao unaweza kuifungua hapa pia... (KISWAHILI - KIINGEREZA)Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Ukiwa kwenye mtandao unaweza kuifungua hapa pia... (KISWAHILI - KIINGEREZA)Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.