Software gani nzuri ya kuedit movie

Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,236
2,000
Habari!
Ni software gani nzuri ya kuedit movie, kuweka slow motion, faster, kupunguza na kuongeza sauti n.k (Km ya bongo movie)?
Ni software gani nzuri ya kuweka subtitile kwenye movie?
Ni software gani nzuri ya kuedit photo cover ya movie?
Thanks in advance
 
SECRET AGENT

Senior Member
Jan 4, 2019
153
250
Habari!
Ni software gani nzuri ya kuedit movie, kuweka slow motion, faster, kupunguza na kuongeza sauti n.k (Km ya bongo movie)?
Ni software gani nzuri ya kuweka subtitile kwenye movie?
Ni software gani nzuri ya kuedit photo cover ya movie?
Thanks in advance
Program za Adobe hua nzuri sana kwa video production na graphics designing. Tafuta Adobe Premiere Pro. itakusaidia na kwa upende wa photo cover Adobe Photoshop itakusaidia. Zipo program zingine pia hizo za adobe ni muhimu sana kuzifaham

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom