Software engineer at work

Software engineer at work

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,448
Reaction score
8,422
funny_admin_of_facebook_wcibp_Pak101dotcom.jpg
 
Al Shabab kwa lugha ya kiarabu ni vijana na shabab ni kijana, ungetumia neno gaidi au kwa lugha ya kigeni ni terrorist!!!

Unamlazimisha mwenzio kuongea asicho kiwaza...haya huyo kijana ugaidi wake nini?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Unamlazimisha mwenzio kuongea asicho kiwaza...haya huyo kijana ugaidi wake nini?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Nilikua namfahamisha nini maana ya Al Shabab nikatoa mfano kama nilioutoa nikiwa na maana ya kuwa anavyofikiria shabab ni ugaidi sio ugaidi ni ujana na ndio neno halisi al shabab, kwa anavyofikiria yeye sivyo ni bora angetumia terrorist nadhani Bi mkubwa utakua umenielewa
 
Mkuu hata mzee majuto alenena kizuri hakikosi doa inamaana sisi waswahili kila kitu kinacho fanywa na waarabu au wahindi na wadugu huwa vibovu lakini vya kwetu hujisifia kama vibatari na kusukuma mikokoteni na watoto vidogo na vijana wa kazi nao kuwokota vichupa uhai na karanga mbichi ili tuwe na maji ya uzazi hayo ndio maendeleo yetu
 
Back
Top Bottom