HP1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 3,362
- 878
sawa mdau, lakini heading ni software engineer anahitajika. Sidhani kama Tz wanapatikana labda waliosoma nje ya nchi na UDOM ndio wanatoa hii course na sidhani kama wamegraduate..
Course au programme??
sawa mdau, lakini heading ni software engineer anahitajika. Sidhani kama Tz wanapatikana labda waliosoma nje ya nchi na UDOM ndio wanatoa hii course na sidhani kama wamegraduate..
Yaah Mkuu , kulikuwa na CBG member flan wajina wako. (according to ur username hapo juu)
maziku alikua EGM na masunga alikua CBG
Kuna kampuni ya wachina ilikuwa na software yao sasa ilikuwa iko kwa kichina sasa wanataka kubadilisha iwe kwa english
Uko sahihi kwa mimi ni nani, but for what am doing is what mdau anayemtafuta, hata pia yaweza kuwa anatafuta mtu ambaye anajua kidogo tu about programinglakini mdau mbona unaligi kali, bado wewe sio software engineer ni information technician. Kibongo bongo kila kitu ni mazoea
Wewe bado ni Software Engineer usiwe na wasiwasi! Software Engineering Tanzania sio certified profession kama Civil Engineering kwa hiyo unaweza kujiita hivyo bila tatizo.Uko sahihi kwa mimi ni nani, but for what am doing is what mdau anayemtafuta, hata pia yaweza kuwa anatafuta mtu ambaye anajua kidogo tu about programing