Software engineer anatafutwa

Software engineer anatafutwa

Bila shaka ulimaanisha Software Engineer. Weka mambo hadharani acha kutaka kutafutwa kwa simu.
 
nenda UDOM pale kuna undergraduates wanaweza fanya hiyo kitu. Tofauti na hapo hakuna software engineering students Tanzania nzima.

Mkuu tatizo umekariri kua kua software engineer lazima uwe na cheti kimeandikwa BSc Software Engineering......
Hajasema anatafuta students wa software engineering, jamaa kaongelea software engineer.... Na kutranslate software kama kuna source code haihitaji mtu mwenye cheti, hata mtu anayejua syntax tu ya code anaweza akatranslate vizuri tu bila kugusa sehemu yoyote ikakorofisha software nzima.
 
sawa mdau, lakini heading ni software engineer anahitajika. Sidhani kama Tz wanapatikana labda waliosoma nje ya nchi na UDOM ndio wanatoa hii course na sidhani kama wamegraduate..
Graduate wa kwanza UDOM-BSc.Software Engineering ni 2013 na walikuwa 23. Mimi Chief Lugina nikiwa mmoja wao.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: 911
hii ni nzuri, tender hiyo sasa jaribu kumcheck huyo mdau
Tangazo nimeliona even though lipo local sana, anyways ninakazi za watu ambazo inawezakuwa ngumu kuattend hiyo kazi. Pia nadhani interest siyo Software Engineer(Mwenye BSc.SE) lakini mwenye uwezo wa kufanya hiyo kazi. Mimi nina encourage mtu yeyote anaeweza kufanaya hiyo kazi awatafute hao majamaa afanye hiyo kazi.
 
Software engineering anatafutwa kuna company inatafuta mtu huyo hapo kwa maelezo zaidi nicheki 0717 022737

Bila shaka ulimaanisha 'Software Engineer' Nakushauri next time unataka kusema hakikisha unatamka/andika unachomaanisha!
 
Waaambie wakupe details za kueleweka. Programming language gani? Source code ipo? Mnaruhusiwa kuibadili? Hizo translation nazo zipo?
 
Back
Top Bottom