Jinsi ya kuzuia windows 10 isitafune cracked software

Socw

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
1,304
2,583
Habari wakuu...

Nadhani sote tunafahamu kuwa wengi wetu kulingana na sababu kadhaa tunalazimika kutumia cracked softwares.

Sasa mimi nina software ya fl studio 12 ambayo niliitafuta kwa ajili ya kutengeneza beats for fun tu. Lakini shida ni kuwa natumia windows 10 na kama mnavyojua windows 10 haina mchezo kabisa. Imekuwa ikiibatua hii fl studio ndani ya dakika chache tu baada ya kuwa installed. Sometimes hata kabla ya installation kukamilika inakuwa ishazolewa tayari, unapomaliza kuinstall unakuta haifanyi kazi kabisa.
Nimejaribu njia kadhaa kutatua hii changamoto lakini nimeshindwa.
Njia zenyewe ni kama,
1. Kuzima window defender wakati wa kuinstall.
2. Kuzuia window defender isi'scan kwenye ma folder yenye hii softwere.
Njia hizi mbili hazijazaa matunda, hivyo naomba msaada katika hili kama kuna uwezekano.
 
Zima windows defender, zima ant virus, install software yako, restart computer yako, then fresh... By the way, natumia windows 10 na FL 20 + software kibao za production haijawahi nisumbua
 
Nimefanya hivyo lakini nimeitumia mara moja tu, nilipoifunga ikawa haikubali tena kufunguka.
Nina Pr, Ps na Ae lakini zinafanya kazi vizuri tu sasa najiuliza kwa nini fl inizingue hivi...
 
Kama upo mwanza njoo ofisini kwangu nikutatulie tatzo lako.Unahitaji deep knowledge ya windows 10 kubypass security feature flani ambayo inasababisha ilo tatizo.
 
Inapogoma inakwambiaje?
 
Siko mwanza mkuu, kama kuna uwezekano wa kunisaidia bila kufika hapo itakuwa vizuri pia.

Inapogoma inakwambiaje?
Inaleta kibox cha blue chenye maandishi "This app can't run on your PC"
 
Basi badilisha version ya FL studio, au tumia 20
Siko mwanza mkuu, kama kuna uwezekano wa kunisaidia bila kufika hapo itakuwa vizuri pia.

Inaleta kibox cha blue chenye maandishi "This app can't run on your PC"
 
Sometime mkuu app inapodakwa mara 1 inaacha mabaki kwenye register na maeneo mengine, hivyo kila unapo re install app inadakwa.

Kama ume exclude ant virus isi scan na una pirated software nyengine ambazo hazidakwi itakuwa si tatizo la Ant virus.

Tafuta un installer ya ukweli kama Revo then tumia ku uninstall usiache mabaki yoyote, halafu tafuta setup nyengine weka upya.
 
Hivi yawezekana foxit pdf yangu imeliwa na window 10! Lakini mbona sikuicrack niliipata bure tu kwao!?
 
Sometime mkuu app inapodakwa mara 1 inaacha mabaki kwenye register na maeneo mengine, hivyo kila unapo re install app inadakwa.

Kama ume exclude ant virus isi scan na una pirated software nyengine ambazo hazidakwi itakuwa si tatizo la Ant virus.

Tafuta un installer ya ukweli kama Revo then tumia ku uninstall usiache mabaki yoyote, halafu tafuta setup nyengine weka upya.

Kwa haraka huyu tatizo sio windows defender na anti virus, huyu ka install windows yenye malware tayari (wadudu) hizo windows za kwenye flash ni pasua sana mtu anaweka huko windows na ma programs kibao ana chomeka kila mahali. Nakumbuka nikiwa chuo ilinitesa mpaka nigundue tayari nimeangaika sana, Una install fresh kabisa ile una download Mozilla u install inasema hivyo ma error yenye x00000003 , office nayo hivyo hivyo . Simple hapo atafute windows 10 safi tena ilio kwenye cd au power ios (image).
 
Back
Top Bottom