Softcopy za vitabu vya Robert Kiyosaki

Softcopy za vitabu vya Robert Kiyosaki

Sijui ni ushamba au nn,mimi kisoma kitabu mpaka nikishike ndo nasikia raha yani kama hivi;
Hakuna asiyependa kuwa na kitabu physical ila pesa sasa mtu anahitaji soma vitabu kadhaa vyote ataweza kuvi-afford ni ghalama kubwa.

Mkuu tubadilishane hiko kitabu na change cha “Guide to invest”
 
Back
Top Bottom