Soft drink ni ipi?

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
107
Naomba msaada,
Hivi soft drink ni ipi kati ya hizi; Bia au Soda.

Naomba kufahamishwa kama aina za vinywaji zipo mbili kama zilivyo tajwa hapo juu. Je bia na kinywaji kama savana vipo kwenye kundi gani? au labda vina type yake ambayo mm siifahamu?
 

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,012
Naomba kufahamishwa kama aina za vinywaji zipo mbili kama zilivyo tajwa hapo juu. Je bia na kinywaji kama savana vipo kwenye kundi gani? au labda vina type yake ambayo mm siifahamu?
 

ni kweli

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
237
283
Hard drinks ni pombe zote zilizopitia distillation process katika utengenezwaji wake. (Kukusanya matone ya mvuke) Mfano all kind of whiskies, Gin, Vodka, Rum, Tequila gongo nk.

Beers haiwezi kuwa hard drink maana imetengenezwa kwa nafaka kupitia mfumo wa brewing, fermentation, adding o sugar and yeast kuwa kilevi, boiling, kuongeza ladha (hops ingredients) filtration nk.

Savanna ni kundi la apple cider.
Tofauti yake na beer ni
Beer inatengenezwa kwa nafaka,
Savanna inatengenezwa na apple juice,

Beer inatengenezwa kwa brewing na ku ferment nafaka na kuongezewa ladha ya uchachu kwa kuchanganywa hops.
Cider (Savanna) inatengenezwa Kwa ku ferment apple juice tu.

Finally, DRINK BEERS AND SAVE WATER.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom