Trainee JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 3,118 Reaction score 4,230 Dec 9, 2022 #21 Mr. Miela said: Kumbe anajua kiswahili[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Unakua kama hujui kuna Google translator
Mr. Miela said: Kumbe anajua kiswahili[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Unakua kama hujui kuna Google translator
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,332 Reaction score 134,620 Dec 9, 2022 #22 IBRA wa PILI said: Hii ni baada ya siku chache pale nchini Qatar katika mechi ya mtoano hatua ya 16 Bora morroco walipo fanikiwa kuwaondoa spain. Sofiane Alisema ushindi huu ni kwa Waaarabu wote na Morroco. View attachment 2439761 Click to expand... Ujinga, umbumbumbu, unafiki, na upopoma tu ndiyo unao wasumbua. Wamepata hiyo nafasi kupitia Bara la Afrika, halafu leo wakawapongeze Waarabu wenzao!! Si wajitoe sasa CAF na kuhamia huko Uarabuni!!
IBRA wa PILI said: Hii ni baada ya siku chache pale nchini Qatar katika mechi ya mtoano hatua ya 16 Bora morroco walipo fanikiwa kuwaondoa spain. Sofiane Alisema ushindi huu ni kwa Waaarabu wote na Morroco. View attachment 2439761 Click to expand... Ujinga, umbumbumbu, unafiki, na upopoma tu ndiyo unao wasumbua. Wamepata hiyo nafasi kupitia Bara la Afrika, halafu leo wakawapongeze Waarabu wenzao!! Si wajitoe sasa CAF na kuhamia huko Uarabuni!!
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,332 Reaction score 134,620 Dec 9, 2022 #23 vibesen xxx said: Hiyo midevu anaonekana tu kichwani amejaza nini[emoji16] Click to expand... Wallah tena! Acha kuleta dharau kijana! Hizo ndevu kwetu sisi ni sunna.
vibesen xxx said: Hiyo midevu anaonekana tu kichwani amejaza nini[emoji16] Click to expand... Wallah tena! Acha kuleta dharau kijana! Hizo ndevu kwetu sisi ni sunna.
Mrao keryo JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 2,285 Reaction score 3,001 Dec 9, 2022 #24 Kesho watapigwa na Ureno mpaka wachakae
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,707 Reaction score 14,425 Dec 10, 2022 #25 Samahani yao haisaidii kitu.... Wao si waarab wabaki hapo
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,388 Reaction score 21,371 Dec 10, 2022 #26 Duuh kumbe ile kauli ilikuwa kweli? Bas hawa Jamaa bado primitive Sana anashindwa kuelewa kitu kidgo kama hicho. Mtu aliyestaraabika huwez Kuta anaongekea udini katika michezo
Duuh kumbe ile kauli ilikuwa kweli? Bas hawa Jamaa bado primitive Sana anashindwa kuelewa kitu kidgo kama hicho. Mtu aliyestaraabika huwez Kuta anaongekea udini katika michezo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,522 Reaction score 194,440 Dec 10, 2022 #28 Mambo yake muachieni mwenyewe...