Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,104
- 43,357
Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.
Mwanavillage mbona umetuletea nusu??? malizia basi
Mwanakijiji... huyu mama si ndie uliyemfagilia kipindi akitwaa Uchaiewomeni wa UWT, na ukasahau kabisa kama alishawatetea akina Mkapa na wenzake? Kulikoni
MM,
Hivi "kujiuzulu" ndiyo soluhisho ltu a matatizo kwa mtizamo wako?
mdengeleko yule matusi kwake ni jadi
Huyu mama hakustahili kuongoza utawala bora. Mimi nahisi mara nyingi huwa anafanya mambo bila kufikiria vizuri nini hatima yake. Na nikiona hizi strategies zinazo fail kila kukicha kutoka ofisi nyeti, I believe inawezekana yeye akawa na msukumo mkubwa wa kuwaambia hawa jamaa waanzishe counter effective measures. Mfano mdogo ni huu wa Takukuru na Wabunge, achana na jitihada za kuwasafisha kina Mkapa kwa kutumia mbinu za zama za mawe.