Sofa zinauzwa

Sofa zinauzwa

Twalole

Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Habari za kazi wakubwa,
Mpangaji wangu amepata transfer ya ghafla kurudi nchini kwao hivyo ameniachia furniture zake zikiwepo sofa hizo hapo chini kwenye picha nimuuzie.
Bei ya kuuza ni Milioni 2.8
Kama unahitaji details zaidi au uko interested please ni PM
Shukran
s1.jpg s2.jpg


s3.jpg s4.jpg
 
Tehe teheee, yan sofa ishakaliwa na watu, washapiga game na madem zao halafu hivi hivi nikuachie Milion 2.8 ????

Are u kidding me!!!!!!!!!!
 
Lazima umeweka cha juu!!! Used sofa kwa 2.8??????
 
Kama za pa Komba pale Tangi bovu ,na sababu zimekaliwa na kwa kuwa kama za kwa komba saana sana hizo ni 600,000 baasi
 
Kama za pa Komba pale Tangi bovu ,na sababu zimekaliwa na kwa kuwa kama za kwa komba saana sana hizo ni 600,000 baasi

Mkuu, nilivyoona tu hizi sofa the first thing nikakumbuka kwa Komba ghorofani!!! hahahahahahahhahahaha
 
Back
Top Bottom