mlekulechoma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 1,366
- 1,059
Pole sana ndugu yangu. Kwa upande wangu mimi hapa kwa haraka haraka nimebaini jambo moja, ambalo ndilo la msingi zaidi. Kwa muonekano wa huyo muhudumu na hilo eneo ni zuri sana. Muhudumu yupo bomba sana, cheaper, Mrembo. Inaelekea hapo panafaa kutembelewa ili kupata moja moto moja baridi. Unaweza kutusaidia jina la hiyo bar na location ilipo?fanta pasion..zinazotengenezwa kampuni ya coca cola usafi wake unatia shaka....nikiwa kanda ya ziwa....sengerema mjini...baa moja hiv jirani na hospitali ya wilaya...niliagiza fanta pasion bariiidiiii....kabla ya mhudumu kuifungua...nikaona uchafu ndani kama picha inavyoonekana.....nawaomba watengenezaji wa vinywaji hivi chondechonde wazingatie afya za watumiaji....mtatuua jamani
But u can sue Coca-Cola, right?
Hiyo ni take away right?
Mbona kampuni ya COCA-COLA wapo makini sana!Uchafu wote huo?!
hizo karanga umeweka mwenyewe... unataka kuaribia watu soko.
hawana umakini jana nimenunua sprite ndani ilikuwa na wadudu wamekufa yaani kidogo nitapike inaonekana chupa wanazokusanya huwa hawazisafishi.
subiru yakukute hata mimi nilikuwa mbishi.
Pole sana ndugu yangu. Kwa upande wangu mimi hapa kwa haraka haraka nimebaini jambo moja, ambalo ndilo la msingi zaidi. Kwa muonekano wa huyo muhudumu na hilo eneo ni zuri sana. Muhudumu yupo bomba sana, cheaper, Mrembo. Inaelekea hapo panafaa kutembelewa ili kupata moja moto moja baridi. Unaweza kutusaidia jina la hiyo bar na location ilipo?
Nikweli usafi ni zilo hata mimi niliwahi kukutana nauchafu
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums