Soda na mgeni uswahilini

Soda na mgeni uswahilini

Soda ya 500 mkuu kwa mgeni aliekutembelea kila baada ya miezi mi3 haiharibu bajeti yoyote mkuu ..ukilinganisha na mgeni katoka alikotoka kuja kukusalimia katumia kachoma mafuta ya TSh ngapi!
Je ingekua wanakunywa Moet mkuu si ungehamia porini
Ukarimu unapendeza sana,Mgeni akija hata kama una stress kakope furaha kwa jirani akiondoka utairudisha
 
kwahiyo unataka mgeni apewe nini akifika?

mgeni kafika jua kali au jioni kachoka unataka apewe nini kutuliza koo?
 
Hivi kwanini sisi wa uswahilini tukitembelewa na mgeni lazima tuanze kuhangaika kumnunulia mgeni soda?
ni nani aliuanzisha huu utaratibu?kwani wageni nao huwaga hawawezi kunywa hata maji tu?

Mgeni anakuwa ametembea umbali fulani na kupoteza kiasi fulani cha maji na sukari, ili awe comfortable katika kuakaa kwake lazima arejeshewe hivyo vitu.
 
Lkn hata huyo mgeni ukimuuliza anakunywa nini lazima aseme soda tu,water selection ya maji huwaga hakuna hiyo button,mzungu katufanya nini na hivi vinywaji vitamu vitamu?
 
Lkn hata huyo mgeni ukimuuliza anakunywa nini lazima aseme soda tu,water selection ya maji huwaga hakuna hiyo button,mzungu katufanya nini na hivi vinywaji vitamu vitamu?
Na wakati mtoto anatumwa soda huku nyumbani mama anamletea mgeni albamu kwaajili ya kuangalia picha!!
 
Hivi kwanini sisi wa uswahilini tukitembelewa na mgeni lazima tuanze kuhangaika kumnunulia mgeni soda?
ni nani aliuanzisha huu utaratibu?kwani wageni nao huwaga hawawezi kunywa hata maji tu?
Tulioyarithi kama si mabaya tuyaendeleze.Uswahilini hakuna soda hunywewa siku maalumu kama sikukuu.Waswahili hawatumiagi via,wazungu huwakirimu wageni kwa pombe za kwenye friji.
 
Back
Top Bottom