Socialphobia, anxiety, depression, panic attack inaniua taratibu! Msaada

Bado niko mkuu hali iko vile vile ukiona nimebadili jina la Maiti kuwa jina jingine zuri basi ujue nimepona
Duuh pole sana mkuu... Ila i hope yataisha tu. Nkajua vitabu na link ulizopewa hapo juu zimekuimarisha sana
 
adamu anayeishi kama mimi kweli?
Mshukuru sana Mungu hata umejigundua una matatizo hayo. Pia mshukuru sana upo hai, kuna watu wanapitia mambo mazito sana ukihadithiwa unaweza kutafuta namna ya kumtoroka anaekuhadithia kwa jinsi mambo yanavyotisha. Umewahi kuonana na daktari?
 
Nina shida kama yako ila nlipooa nlijua itapungua vurugu za mwanamke nso zikaniongezea. Mm pia sipendi mikusanyiko hata kanisani siendi.

Ila najitibu kwa kuongeza nguvu ya vitu nivipendavyo muda mwingi najaribu kuvifanya ili vinipe furaha. Uzuri nlisoma pia couceling and guidance na psychology hiyo imenisaidia pia kupata mbinu za kupambana na hii hali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana, Mama yako yupo hai.
Mweleze matatizo yako yeye atakukumbatia na kukupa moyo.
 
Facts:Not having enough sex can put you at risk of anxiety, paranoia and depression
Shida yako ni hii bro👆, ISLETS amekupa ushauri sahihi. Tafuta hela invest in sex, good healthy plenty sex. Usiwaze kuhusu future, itakuja yenyewe hukohuko mbele ya safari wewe piga shoo mpaka mpaka dem a-🙌. Na usijaribu ku-fall kwa demu mmoja utakua unajitengenezea bomu siku akisepa linalipuka. Kuwa player, safely, tumia akili , enjoy life😎
 
Ndelamio,
Hii inawezekana 90% kuna dokta nliongea nae akaniambia hivo hivo kuhusu kuwa na mahusiano. Nafanyia kazi hiyo.👌🏼
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom