mkuu kumbuka katika hii mifuko si tuu hao watu wa protection ndo wanahitajika bali hao watu ni wachache mno wanahitajika na katika vitengo vichache ambavyo wanahitajika kazi zao pia ni rahisi na zinaingiliana na watu wenye fani nyenginezo,mfano shirika kama nssf lina directorate tofauti kama vile finance ambayo imegawanyika treassury na accounts,treassury wanahitajika zaidi wana uchumi na watu wa finance ,accounts wanahitajika watu wa accounts na pia hat business administration,Directrorate of Planning and investment wanaohitajika ni maengineer,na watu wa finance au business waliosomea pia management,Directorate of information technology wanahitajika Computer science ,iT and IcT ,Directorate of Human resource kama inavyojieleza ni human resource au business admin,public admin,nk ,Directorate of operation hii imegawanyika katika statistic,acturial nk,hii inabeba taka taka zote no matter what course unaweza kufanya kwa ufanisi na watu wa acturial ni wachache tuu na hawana ulazima,Directorate of Procurement kama kama watu wa material management and supply,mkuu hizi course ambazo ziko very specific katiak maeneo flani zinasumbua sana kupata kazi ila ukiwa na course ambazo ni multipurpose kama business admin au management ,accounting or finance chance ni kubwa ,vumilieni ndugu zangu lakini hali ni ngumu ukichukulia mifuko ni michache tanzania na ina ushindani sana katika soko la ajira.