Ajira zipoje kwa waliosoma Social Protection?

lee jack

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
922
1,436
Wakuu hivi hii course ya social protection mtu anaweza kupata kazi wapi.

Naombeni mnipe muongozo kuanzia serikalini na Kwa private sector ni wapi anapoweza kuajiriwa mtu mwenye degree ya social protection.

Asante.
 
Wasomi wengi siku hizi ndio bodaboda,waendesha bajaji,waendesha uber & bolt,makonda kwenye mabus ya mikoani,madalali wa viwanja,nyumba na vitu used.

Nnachokisema hapa ni kwamba nenda kasome kwa lengo la kuelimika,hiyo itakuandaa kisaikolojia kuliko kinyume chake.
 
Namjua mdada mmoja alimaliza hiyo kozi ila sasahivi ni mpika keki ndio kinachomuweka mjini,ila kuhusu ajira kozi nyingi sasahivi ni changamoto kupata ajira,hivyo jiandae kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom