Social medias are there to stay

Social medias are there to stay

5. The first responsibility of a leader is to define reality. The last is to say thank you. In between, the leader is a servant.
 
Social medias are there to stay
Halafu tunamcheka DAB, ni kweli DAB alichemka kununua vyeti, lakini we've got a bunch of DABs in the country.
Inaweza ikawa wrong but it could still be right.
 
Pengine huko ni mbali
Kiongozi siyo mbali, toka 2005 nikiwa nimeanza kujitambua mpaka leo 2017 bado matukio ya 2005 nayakumbuka sana kipindi cha kampeni cha Kikwete (kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya), tuombe uzima kwa Mungu wetu tufike salama 2020 ni karibu mno hasa kwake yeye, hakuna hata kiwanda kimoja mpaka leo miaka 2.
 
4c718e20a4ceddc864edd581480b8373.jpg
Subuuuutu!
"Kwa sauti ya mwajuma ndala ndefu"
 
Kiongozi siyo mbali, toka 2005 nikiwa nimeanza kujitambua mpaka leo 2017 bado matukio ya 2005 nayakumbuka sana kipindi cha kampeni cha Kikwete (kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya), tuombe uzima kwa Mungu wetu tufike salama 2020 ni karibu mno hasa kwake yeye, hakuna hata kiwanda kimoja mpaka leo miaka 2.
Inshallah aamen

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Unapotafakari btn JF kuwa a new platform Ya mabadiriko inayopigwa vita na Mange kuwa a reliable source kwa waTz wengi hasa wasio na uwezo wa kufanya analysis .......Unaona uagize tu Guiness moja bariiid
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji115] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
8466b89431ce64d63a337693a9ae3e39.jpg
0e7cb209e0d893b64d4b16766fcd3f9e.jpg
ukikosa Guinness kuna mbadala wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom