🤣🤣🤣Club la marasta waliwa tigo na wazungu unaitaka?
La wapenda live bandHii ni club la wala bata sio? 😂
Ahsante, i will go with meditation, hiyo golf nawaachia 😂Jmosi karibu Hapa Philips nearby mount meru hotel, kuna club ya golf pia kuna ya meditation. Shida ya hapa ni moja, show off nyingi sana usipokua na hata ka Toyota crown utaonekana kama mlizi tu