Soccer Gallery Collection

Ortega [emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji460]Hali hii hujitokeza pale team yako pendwa ipo fainalikwenye mikwaju ya penati team pinzani ameshakosa mchezaji wa team yako anaenda kupiga penati ya ushindi ya kwenda kunyanyua ndoo [emoji471]
 
Karibu Africa sisi ndiyo sisi [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji471]big up Cisse ,kinachonifurahisha zaidi ni mzawa hivi kuna kocha mzawa ambaye amewahi kudumu muda mrefu kuitumia timu yake ya Taifa kama kocha kama huyu jamaa [emoji471]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…