Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,671
Eto hapo bado bikra kabisaView attachment 2112462McManaman, Njitap, Eto na Anelka 1999, Madrid
Chalii sanaEto hapo bado bikra kabisa
Huyu mwamba alitupia goli la 3 final ya World cup,Brazil akifa 3-0 kutoka kwa Mfaransa.
Egypt hii ilisumbua sanaView attachment 2112618View attachment 2112620Amri Zaki Egpty na Wigan Athletic, Waulizeni Cameroon na Ivory Coast
Hawa wazinguaji hawa πππNAONA Wazawa mmewatenga kuna uyu mwamba mapafu ya Mbwa alikiwasha sana SHADRACK NSAJIGWAView attachment 2112653