makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,489
- 108,613
Lampard alimfanyia unyama saana didier, kuna game ya mwisho ya ligi kipindi drogba na Rooney wanagombea kiatu cha dhahabu, ikatokea penati Lampard akamnyima drogba akapiga yeye, wakat mwenzie anasaka goli kuchukua kiatu cha dhahabu, walipotoka mapumziko mwanaume akaweka 3 pekee yake kambani.. Huyu ndio tembo, sio tembo harmonize. [emoji23]Didier Drogba
Hapahitajiki maelezo mengi ila alichofanya pale Stamford bridge [emoji563] kinajulikana ,japokuwa hakufanikiwa sana kwenye ngazi ya kilabu pamoja na kikosi cha dhahabu walichokuwa nacho.View attachment 2111894View attachment 2111895View attachment 2111896
Hii generation ilichukuwa euro 92 kama invaiteee mkuuFundi wa mpira
Alijitamanisha,[emoji460]pole sana [emoji460]View attachment 2116012
Huyu aliona siku mkuu.[emoji460][emoji460]View attachment 2116014