So, so very painful

So, so very painful

katibasitti

Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
61
Reaction score
37
Yaani kupenda mtu ambaye hakupendi kivile au kiasi hicho hicho inauma sana, maana uwepo wako au kutokuwepo kwako vyote kwake vitakuwa sawa tu, saa nyingine utaonekana kero tu bila sababu.

Fikiria una mtu wako mko mbalimbali, umepata nafasi ya kwenda kumuona, unamuambia anasema sina hela ya nauli, unamwambia basi nitakopa nauli tu nije huko ni muda sijakuona nimekumisi, bado anasema usije, nitakuja mimi baada ya zaidi ya mwezi.

Hivi jamani ni nini hiki?
 
Bora utafute anayekupenda ndio utaenjoy hayo mapenzi. Kumpenda asiyekupenda ni kujiletea maumivu ya moyo yasiyoisha.
 
yaani kupenda mtu ambaye hakupendi kivile au kiasi hicho hicho inauma sana,maana uwepo wako au kutokuwepo kwako vyote kwake vitakuwa sawa tu,saa nyingine utaonekana kero tu bila sababu.
Fikiria una mtu wako mko mbali mbali,umepata nafasi ya kwenda kumuona, unamuambia anasema sina hela ya nauli,unamwambia basi nitakopa nauli tu nije huko ni muda sijakuona nimekumisi, bado anasema usije, nitakuja mimi baada ya zaidi ya mwezi. Hivi jamani ni nini hiki?!

hayatuhusu. This is your private business
 
Ndio hivyo kuna watu wamezaliwa kuumiza wenzao!!!ukimpenda tuu anaanza kukupandia bei kama kipande cha dhahabu!!!pole sana IPO cku atakuja jjua thamani yako lkn wakati huo ye ndo atakuwa kachelewa!
 
pole jitahidi umsahau na we uanze maisha mapya ya amani kuliko kuwaste muda wako kwa mtu asie kupenda kwa kweli ni kujipa ugonjwa wa moyo tu
 
Yaani kupenda mtu
ambaye hakupendi kivile au kiasi hicho hicho inauma sana,maana uwepo
wako au kutokuwepo kwako vyote kwake vitakuwa sawa tu,saa nyingine
utaonekana kero tu bila sababu.
fikiria una mtu wako mko mbali mbali,umepata nafasi ya kwenda kumuona,
unamuambia anasema sina hela ya nauli,unamwambia basi nitakopa nauli tu
nije huko ni muda sijakuona nimekumisi, bado anasema usije, nitakuja
mimi baada ya zaidi ya mwezi. Hivi jamani ni nini hiki?!

sign out my dia
 
Ukiona sign of no entry,ujue yupo anayepika na kupakua nae.....move on my dear.....
 
Yaani kupenda mtu ambaye hakupendi kivile au kiasi hicho hicho inauma sana,maana uwepo wako au kutokuwepo kwako vyote kwake vitakuwa sawa tu,saa nyingine utaonekana kero tu bila sababu.
fikiria una mtu wako mko mbali mbali,umepata nafasi ya kwenda kumuona, unamuambia anasema sina hela ya nauli,unamwambia basi nitakopa nauli tu nije huko ni muda sijakuona nimekumisi, bado anasema usije, nitakuja mimi baada ya zaidi ya mwezi. Hivi jamani ni nini hiki?!

Usiteseke njoo kivulini! Tunaweza kupenda tupo wewe tu. Nafasi ipo
 
Pole Kwa Yote But Tambua Kuwa Mapenzi Hayalazimishwi Hata Kidogo, Atakuja Atakaekupenda Kwa Dhati Na Si Huyo Anaekutesa Kwa Sasa.
 
Kwani kipi kisichoeleweka pale unapoambiwa "usije"? Usipende kulazimisha penzi pale ambapo halipo ni kujitafutia majuto yanayoweza kuepukwa kirahisi kabisa. Tia akili kichwani na ushike hamsini zako.

Yaani kupenda mtu ambaye hakupendi kivile au kiasi hicho hicho inauma sana,maana uwepo wako au kutokuwepo kwako vyote kwake vitakuwa sawa tu,saa nyingine utaonekana kero tu bila sababu.
fikiria una mtu wako mko mbali mbali,umepata nafasi ya kwenda kumuona, unamuambia anasema sina hela ya nauli,unamwambia basi nitakopa nauli tu nije huko ni muda sijakuona nimekumisi, bado anasema usije, nitakuja mimi baada ya zaidi ya mwezi. Hivi jamani ni nini hiki?!
 
Yaani kupenda mtu ambaye hakupendi kivile au kiasi hicho hicho inauma sana,maana uwepo wako au kutokuwepo kwako vyote kwake vitakuwa sawa tu,saa nyingine utaonekana kero tu bila sababu.
fikiria una mtu wako mko mbali mbali,umepata nafasi ya kwenda kumuona, unamuambia anasema sina hela ya nauli,unamwambia basi nitakopa nauli tu nije huko ni muda sijakuona nimekumisi, bado anasema usije, nitakuja mimi baada ya zaidi ya mwezi. Hivi jamani ni nini hiki?![/QUOT

kama kusoma huez hata picha huoni...
 
Back
Top Bottom