Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,818
- 93,491
mpuuzi sana huyo dada tena ni muuaji
naloli aka mundu nakamo...
mpuuzi sana huyo dada tena ni muuaji
Duh inabidi mama amnunulie mtoto dildo sasa...................
kipindi ninasoma maeneo ya kaskazini, kuna shule za wasichana walikuwa maarufu wa kuiba "test tube"....hizo zilikuwa zatumiwa maalum kwa ajili ya kusuguana[/QUOT
Yaani ni shida tu. Mungu atusaidie kwa kweli.
ndio hivyo nishawahi nami kusikia kisa kama hicho na aliyekua akifanya hivyo ni hawa beki 3...mama wa mtoto alipokuja gundua beki 3 alikua kashaacha kazi na binti yake kashaharibiwa
utakapokuwa nao ndo utajua inaumaje!sitegemei mzazi yeyote awe wa kuime au wa kike kuleta joke au sarcasm kwenye thread kama hii!
bora useme dada, me nimemtizama tu na kumwacha kama alivyo!
Hivi nimeeleweka hivyo? Kama baadhi ya wazazi wanatembea au kunajisi watoto wao, kuna kosa gani kuchukua tahadhari?
Ukiniuliza mimi utapata taarifa ambazo zinaweza kuwa hazina maana yoyote. Ila kama hujawahi kusikia habari za wazazi wanaotembea na watoto wao naomba unisamehe Nk.Baba ana haki ya kuwa close na mwanae apendavyo; si wake?Unless umeolewa na shetani. Na kama mumeo ni shetani lazima utakuwa unamjua.Kwa hiyo mtu akinambia ana wasiwasi na mmewe...mi najua si tahadhari ila mmewe si mtu.Na wewe unakubali kuwa unaweza mtamani mwanao akiwa too close na wewe?
Ukiniuliza mimi utapata taarifa ambazo zinaweza kuwa hazina maana yoyote. Ila kama hujawahi kusikia habari za wazazi wanaotembea na watoto wao naomba unisamehe Nk.
Wapo lakini si mume wangu? Wapo lakini si watu wa kawaida?
Hivyo sioni sababu ya kukosa imani na mume wangu kwa WATOTO WAKE...maana kama ni kuhofia basi tungehofu hao watoto kiume zaidi maana wakiharibika ndio nitolee hiyo.
Siwalaumu hao wasio na imani na waume zao; kwa sababu sijuhi kilichowafikisha kuamini wanchoamini. Watakuwa wanawajua vizuri waume zao.
utakapokuwa nao ndo utajua inaumaje!sitegemei mzazi yeyote awe wa kuime au wa kike kuleta joke au sarcasm kwenye thread kama hii!
Binadamu wengine ni mabox tu mwili mzima...