so sad!!!!!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 35 alikuwa anaishi jirani na mtoto wa kike mwenye umri kati ya miaka 8 - 12. dada huyo alimpenda sana yule mtoto kwani yeye hakuwa na mtoto wala mume. yule mtoto alikuwa akitoka shule tu anakwenda kwa yule dada kushinda huko. mwishowe akaanza kumwingizia vidole sehemu za siri na mtoto akazoea na kufurahia mapenzi yakanoga pasipo mama wa mtoto kugundua kilichopo nyuma ya pazia. ikafika wakati mpaka anakwenda kulala kwa yule dada. siku ya siku mama mtoto . . . . . .
 
Dunia imekwisha, bado kushuka moto wa sodoma na gomora tu!!!!!!!!!!
 
akapatwa na wasiwasi juu ya urafiki kati ya yule dada na mwanae, akaanza kumpeleleza mwanae. ndipo mwanae akamwambia kile ambacho alikuwa akifanyiwa. yule dada alikamatwa na kushtakiwa mwisho akafungwa lakini mtoto alikuwa amekwisha haribiwa. .
WITO.. KINAMAMA TUWENI MAKINI NA URAFIKI KATI YA WATOTO WETU NA WATU WAZIMA.
 
Duh. . .yani alishindwa kabisa kufanya hayo na mkubwa mwenzie?Kweli ubinadamu kazi!!
 
Dah.. Hii ni hatari kubwa aisee...Napata picha mimi ndio ningekuwa mama wa huyo mtoto...Unaweza ukamkata mtu kichwa kwa hasira..!
 
Dah.. Hii ni hatari kubwa aisee...Napata picha mimi ndio ningekuwa mama wa huyo mtoto...Unaweza ukamkata mtu kichwa kwa hasira..!
Kumkata mtu kichwa pekee siyo suluhisho dada angu, hata kama ww sio mama wa huyo mtoto kwa ss hv lkn baadae pia unaweza kuwa na mtt wa kike yakakukuta haya. Huu mchezo wa kusagana au kuwasaga wanawake c kitu kigeni hapa Tz na unazidi kushamiri siku hadi siku wakubwa kwa wakubwa, watoto kwa wakubwa na hata watoto kwa watoto. Tunahitaji kumjua Mungu wa kweli na kurudi katika tamaduni zetu wa asili ktk suala zima la mapenzi/mahusiano ili tuepuke huu ushetani!.
 
akapatwa na wasiwasi juu ya urafiki kati ya yule dada na mwanae, akaanza kumpeleleza mwanae. ndipo mwanae akamwambia kile ambacho alikuwa akifanyiwa. yule dada alikamatwa na kushtakiwa mwisho akafungwa lakini mtoto alikuwa amekwisha haribiwa. .
WITO.. KINAMAMA TUWENI MAKINI NA URAFIKI KATI YA WATOTO WETU NA WATU WAZIMA.

safi kabisa wazazi wa siku hizi wamekuwa wazembe kazi kulalamika kuwa watoto wa siku hizi wamepinda wakati wao wazazi wanashindwa kufanya majukumu yao. mtoto kupinda mzazi shuld take the blame. no excuses hapo
 
daaa,inasikitisha jamani.huruma hakuna,unavyomfanyia mtoto wa mwenzio hivyo,hufikirii ya baadae kwa huyo mtoto.kuna kijana mmoja ni gay,maarufu kwenye ma blog.kuna mtu alimuuliza kisa cha kuwa hivyo,jibu alilotoa kuwa hakuzaliwa hivyo ila mwalimu wa chuoni{ustadh ndie aliekuwa anamchezea tangu mdogo}wakati anaenda madras.hebu imagine unae waamini ndio wanaekuharibu
 
kumbuka wimbo wa kigeugeu, yule unayemuamini ndo anakugeukia!!!!!
 
hii story ilinisababisha siku moja nikamwadhibu mwanangu mpaka roho iliniuma. kuna binti mmoja jiran yangu alikuwa kamaliza form 4 mwanangu akiwa na 7yrs wakati nahamia hapo jiran na huyo binti. mara wakaanza mazoea/urafiki.mwanangu akitoka shule anaenda kwa huyo binti mpaka late kama 2000hrs,kuuliza hapo kwangu naambiwa huwa anashinda kwa jirani.siku hiyo nilimchapa kwa hasira sana nikikumbuka hii story. kuanzia hapo hakukanyaga kwa jirani mpaka leo tuna 3yrs.
 
daaa,inasikitisha jamani.huruma hakuna,unavyomfanyia mtoto wa mwenzio hivyo,hufikirii ya baadae kwa huyo mtoto.kuna kijana mmoja ni gay,maarufu kwenye ma blog.kuna mtu alimuuliza kisa cha kuwa hivyo,jibu alilotoa kuwa hakuzaliwa hivyo ila mwalimu wa chuoni{ustadh ndie aliekuwa anamchezea tangu mdogo}wakati anaenda madras.hebu imagine unae waamini ndio wanaekuharibu

my dia,dunia ya sasa imebadilika sana. watu wamekuwa wanyama kuliko kawaida. . . tumwombe Mungu sana
 
Dah.. Hii ni hatari kubwa aisee...Napata picha mimi ndio ningekuwa mama wa huyo mtoto...Unaweza ukamkata mtu kichwa kwa hasira..!

neylu my dia dunia ya sasa si kama enzi zetu tukiwa watoto.kwani wakati huo tulikuwa tunaruhusiwa kwenda kwa jirani/rafiki kuanzia asubuhi mpaka jioni na wakati mwingine hata kulala huko hasa nyakati za likizo bila mzazi kuwa na wasiwasi. lakini saiv wazazi hatuwaamini marafiki za watoto zetu kwani kumekuwa na tabia za ajabu ajabu kama hizi
 
Last edited by a moderator:
astakafirulah!!yaani bora angekuwa anachukua kidudu cha dogo na kuingiza kwake na sio hivyo alivyofanya..
 
Back
Top Bottom